Siku ya tarehe 02/08/2020 ilikuwa siku ya baraka tele kwa  washarika wa Kange Dinari ya Pwani, ambapo  vijana 40 walibarikiwa, na watatu kati yao walibatizwa na kubarikiwa. Liturgia iliongozwa na Mch Moses Shemweta,  na msaidizi wa  Askofu Mch Dkt Eberhardt Ngugi alihubiri neno la Mungu.

 

2nd of August 2020 was an extremely blessed day for the congregants of Kange Lutheran Parish in Coastal Deanery whereby 40 youths were confirmed during the Sunday worship service. Rev. Moses Shemweta presided over the liturgy and Rev. Dr. Eberhardt Ngugi Assistant to the Bishop gave the sermon.

 

During the Services

 

Ibada ilihudhuriwa na Wachungaji, Wainjilisti,Mashemasi,Kwaya,Washarika pamoja na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Usharika

The service was attended by Pastors, Evangelists, Deacons, Choirs and Congregants from within and outside the parish.

 

Vijana waliopata kipaimara walitoa kiasi cha Tsh 120,000/= kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Dayosisi ya Kaskani Mashariki katika masuala ya elimu.

The Confirmands contributed Tsh 120,000/= for supporting the efforts of North Eastern Diocese in improving the educational services in the Diocese.