Mradi wa kuimarisha maisha ya watoto na vijana wenye ulemavu katika milima ya usambara imeandaa washa ya siku mbili  tarehe 21-22 januari 2020 kwa ajili ya wadau wa mradi huu kutoka wilaya ya Lushoto,halmashauri ya Bumbuli na Mkinga.Jumla ya washiriki 37 walihudhuria washa hiyo.Awali washa hiyo ilifunguliwa na msaidizi wa Askofu Mch.Dkt Eberhardt Ngugi