Tarehe 16/09/2019 in imekuwa siku ya baraka kwa wakristo wa Usharika wa Irente Dinari ya kaskazini, ambapo vijana 41 walipata kipaimara na vijana 3 walibatizwa na kupata kipaimara. Ibada hiyo iliambatana na tukio la ufunguzi wa nyumba ya Mchungaji. Jambo kubwa siku hiyo ni Jubilee ya miaka 27 toka kuanzishwa kwa usharika wa Irente.

Ibada ilingozwa na msaidizi wa Askofu Mch.Dkt Eberhardt Ngugi .

It was a blessed day for the Christians of Irente Lutheran parish in Northern Deanery where by 41 youths confirmed their faith , 3 among them were confirmed and baptized during the Sunday worship service, these celebrations included  the 27 years Jubilee of the Irente parish . The worship service was led by the Principal-Dean Rev Dr. Eberhardt Ngugi 

The Principal-Dean Rev Dr. Eberhardt Ngugi confirming one of the Confirmands

Mch Dkt Eberhardt Ngugi akibariki vijana wa kipaimara.

Rev James Mwinuka confirming the confirmands

Mch James Mwinuka akitoa mbaraka kwa vijana wa kipaimara

 

 

During the worship service: Rev Edward Msocha during during the confirmation process

Mchungaji Edward Msocha katika ibada ya kipaimara Usharika wa Irente

 

During the worship services: Rev Godfrey Walalaze in the confirmation process.

Mchungaji Godfrey Walalaze akibariki vijana wa kipaimara

 

Irente Lutheran Parish Congregants

Washarika wa Usharika wa Irente

Mhubiri choir from Magamba Lutheran parish

Kwaya ya Mhubiri kutoka Usharika wa Magamba