Leo tarehe 23/08/2020 imekuwa siku ya baraka kwa  washarika wa Shume Dinari ya Kaskazini, ambapo  vijana wapatao 212 walibarikiwa.Liturgia katika ibada hiyo iliongozwa na Mkuu wa Dinari ya Kaskazini Mch Peter Bendera,  na msaidizi wa Baba Askofu Mch Dkt Eberhardt Ngugi alihubiri neno la Mungu.

 

 

Ibada ilihudhuriwa na Wachungaji, Wainjilisti,Mashemasi,Kwaya,Washarika pamoja na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Usharika wa Shume ,Vijana waliopata kipaimara walitoa kiasi cha Tsh 212,000/= kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Dayosisi ya Kaskani Mashariki katika masuala ya elimu.

 

 

Today the 23rd of August 2020 was an extremely blessed day for the congregants of Shume Lutheran Parish in Northern Deanery whereby 212 youths were confirmed during the Sunday worship service. Rev. Peter Bendera presided over the liturgy and Rev. Dr. Eberhardt Ngugi Assistant to the Bishop gave the sermon.

 

The service was attended by Pastors, Evangelists, Deacons, Choirs and Congregants from within and outside the parish.

 

In their special message to the Principal-Dean Dr. Eberhardt Ngugi the.The Confirmands contributed Tsh 212,000/= for supporting the efforts of North Eastern Diocese in improving the educational services in the Diocese.