IBADA YA KIPAIMARA USHARIKA WA MLALO

Leo imekuwa siku ya baraka kwa washarika wa Mlalo Dinari ya Kaskazini.Ambapo imefanyika ibada iliyokuwa na matukio mbalimbali vijana wapatao 118 wamepata kipaimara  8 kati yao walibatizwa na ndoa moja ilibarikiwa.Liturgia katika ibada hiyo iliongozwa na Mkuu wa Dinari ya Kaskazini Mch Peter Bendera, na msaidizi wa Baba Askofu Mch Dkt Eberhardt Ngugi alihubiri neno la Mungu. Awali ibada ilitanguliwa na uwekwaji wa jiwe la msingi katika nyumba ya mtumishi.

 

Msaidizi wa  Askofu Mch Dr. Eberhardt Ngugi akimbatiza mmoja wa vijana waliopata kipaimara

Assistant to the Bishop Rev. Dr. Eberhardt Ngugi baptizing one of the Confirmands

 

Ibada ilihudhuriwa na Wachungaji, Wainjilisti,Mashemasi,Kwaya,Washarika pamoja na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Usharika wa Mlalo.

Mch Peter Bendera Mkuu wa Dinari ya Kaskazini

Vijana waliopata kipaimara walitoa kiasi cha Tsh 354,000/= kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Dayosisi ya Kaskazini Mashariki katika masuala ya elimu.

CONFIRMATION AT MLALO LUTHERAN PARISH

Today the 06th of September 2020 was an extremely blessed day for the congregants of Mlalo Lutheran Parish in Northern Deanery whereby 118 youths were confirmed during the Sunday worship service. Rev. Peter Bendera presided over the liturgy and Rev. Dr. Eberhardt Ngugi Assistant to the Bishop gave the sermon.Earlier before the church service, the Principal-Dean Dr. Eberhardt Ngugi laid the foundation stone of the church ministers’ house.

The service was attended by Pastors, Evangelists, Deacons, Choirs and Congregants from within and outside the parish.

Mch Moses Shemweta Mkuu wa Dinari ya Pwani akimbariki mmoja wa vijana walio pata kipaimara ambaye alikuwa mgonjwa

In their special message to the Assistant to the Bishop Dr. Eberhardt Ngugi, The Confirmands contributed Tsh 354,000/= for supporting the efforts of North Eastern Diocese in improving the educational services in the Diocese.

  Confirmands marching

Kwaya ya Upendo kutoka Usharika wa Mikanjuni  Dinari ya Pwani