Mnamo tarehe 13/09/2020 imekuwa siku ya baraka kwa washarika wa Malibwi Dinari ya Kaskazini.Ambapo ilifanyika ibada iliyokuwa na matukio mbalimbali vijana wapatao 135 walipata kipaimara  8 kati yao walibatizwa na ndoa moja ilibarikiwa.Liturgia katika ibada hiyo iliongozwa na Mch Benjamin Chambo mchungaji wa usharika na mzaidizi wa mkuu wa Dinari ya Kaskazini, na Mch Paulo Diu Mratibu wa Missioni na Uinjilisti alihubiri neno la Mungu.

 

 

 Vijana waliopata kipaimara walitoa kiasi cha Tsh 405,000/= kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Dayosisi ya Kaskazini Mashariki katika masuala ya elimu.

 

Malibwi Lutheran Parish is one of the parishes in the Northern Deanery in North Eastern Diocese.134 youths confirmed their faith and 8 among them were baptized during the worship service. The event took place on 13thSeptember 2020. Rev. Benjamin Chambo presided over the liturgy and Rev.Paulo Diu gave the sermon. The service was attended by Pastors, Evangelists, Deacons, Congregants and choirs from within and outside the parish.

In their special message to Rev.Paulo Diu the confirmands expressed their concern to the Diocese’s efforts in providing education services to the society by contributing Tsh 405,000/=