ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Tanga Technical Institute
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

 

Bishop Elect

Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

..


 

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki yafanya Uzinduzi wa Harambee kubwa yenye lengo la kuimarisha Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa SEKOMU.

    KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki yafanya Uzinduzi wa Harambee kubwa yenye lengo la kuimarisha Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa SEKOMU.

    Askofu Mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch.Dkt Msafiri Joseph Mbilu amejumuika na Was...
  • Ziari ya Askofu Mteule Mch.Dkt.Msafiri Joseph Mbilu na Kaimu Katibu Mkuu Mission ya Kigoma

    Ziari ya Askofu Mteule Mch.Dkt.Msafiri Joseph Mbilu na Kaimu Katibu Mkuu Mission ya Kigoma

    Askofu Mteule Mch. Dkt. Msafiri J. Mbilu yupo ziarani katika Mission ya Kigoma ambapo ameshiriki kat...
  • Wahitimu wa mafunzo ya Muziki  Kanisa Kuu Lushoto

    Wahitimu wa mafunzo ya Muziki Kanisa Kuu Lushoto

    Wahitimu wa Muziki (Tarumbeta) wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu wao ndugu Michael Kivulenge...
  • Hatimaye mwili wa aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha SEKOMU Prof. Kihiyo waagwa rasmi.

    Hatimaye mwili wa aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha SEKOMU Prof. Kihiyo waagwa rasmi.

    Picha za matukio mbalimbali ya kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Kumbukumbu ya...
  • Pumzika kwa amani Prof. Vincent Kihiyo

    Pumzika kwa amani Prof. Vincent Kihiyo

Our Calendar

Last month March 2021 Next month
S M T W T F S
1 2 3 4 5 6
7 8 9 10 11 12 13
14 15 16 17 18 19 20
21 22 23 24 25 26 27
28 29 30 31

SEKOMU University

Tanga Technical Institute

Web Links

  • Bumbuli Clinical Officer's Training Centre
  • Sebastian Kolowa Memorial University
  • Evangelical lutheran Church in Tanzania
  • Lutheran Mission Cooperation
     

Staff Mail

ELCT North Eastern Diocese

Askofu Mteule Mch. Dr. Msafiri Mbilu na viongozi wengine wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki wamtembelea Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa Dodoma.

  • Print
Details
Published: 16 January 2021

Askofu Mteule Mch. Dr. Msafiri Mbilu na viongozi wengine wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki pamoja na uongozi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa SEKOMU wamemtembelea Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa .

Hits: 1975

Read more ...

Kikao cha Baba Askofu Jimbo la Pwani

  • Print
Details
Published: 10 January 2021

 

Leo tarehe 10/01/2021 Askofu Mteule Mch Dkt Msafiri Joseph Mbilu mara baada ya Ibada katika Usharika wa Kana Jimbo la Pwani,amepata nafasi ya kufanya kikao na baadhi ya wazee wa Kanisa na Wazee maarufu wa Jimbo la Pwani. Kikao kilifanyika katika hostel ya Mbuyu Kenda Tanga lengo likiwa ni kupata maoni ya wazee hao juu ya namna bora ya kuiendeleza na kuiimarisha hostel ya Mbuyukenda.

Hits: 348

Read more ...

Kikao cha tathmini ya kazi za Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMS)

  • Print
Details
Published: 07 January 2021

Kikao cha tathmini ya kazi za Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMS) ambacho kimeanza kufanyika leo hii tarehe 6-9/01/2021 kimefunguliwa na Dean Mteule  Mch Michael Kanju kwa niaba ya Askofu Mteule Mch Msafiri Joseph Mbilu ambaye katika utangulizi wa semina hii alisoma neno kuu la mwaka KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kutoka kitabu cha Zaburi: 32:8 “Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea;Nitakushauri, Jicho langu likikutazama”.

Malengo ya kikao hiki ni kuweka vipaombele vya Dayosisi kwa mwaka 2021

Hits: 2170

Read more ...

Heri ya Mwaka Mpya 2021_ANZA YOTE KATIKA JINA LA YESU..

  • Print
Details
Published: 01 January 2021

 

Hits: 2186

Read more ...

  1. Pumzika kwa amani Askofu Anthony M. Banzi-Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga.
  2. Salaam za Sikukuu ya Krismass, 2020 Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ASKOFU MTEULE – KKKT –DKMS
  3. Merry Christmas and God’s blessings in the coming New Year 2021
  4. Mahafali ya kumi na moja katika Chuo kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU)

Page 5 of 28

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • ...

Back to Top

© 2021 ELCT North Eastern Diocese