ELCT North Eastern Diocese
ANNOUNCEMENT OF THE CHANGES OF OUR DOMAIN NAME AND EMAIL ADDRESSES
- Details
We have registered and officially owned the domain name elctned.org from 02th December 2020. To ensure smooth transition, we will preserve both the new and the old domain name until 30th MARCH 2021. Due to this change,
our new email address and website URL will be as follow:
Official Website:
www.elctned.org From 31st MARCH 2021
Organization Email address
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Your attention and update on the above change is highly appreciated.
We apologize for any inconvenience.
Thank you and Best Regards,
- Hits: 560
Mwl. Christopher Mwakasege atembelea Makao Makuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.
- Details
Mwl. Christopher Mwakasege asubuhi ya leo tarehe 11/02/2021 amepata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ambapo pia ameshiriki katika Sala ya asubuhi.
- Hits: 704
Msaidizi wa Baba Askofu Mteule Mch. Michael Kanju aambatana na Mratibu wa Misioni na Uinjilisti Mch John Ndimbo kumpokea Mwl. Christopher Mwakasege
- Details
Msaidizi wa Askofu ,Mch. Michael Kanju ambaye aliambatana na Mratibu wa Misioni na Uinjilisti Mch John Ndimbo. wamepata nafasi ya kumpokea Mwl. Christopher Mwakasege ambaye hapo kesho atapata nafasi ya kushiriki na kufundisha Neno la Mungu katika Mkutano wa wachungaji ulioanza leo tarehe 10/02/2021
uliofunguliwa na Mhe. Askofu mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Dkt. Msafiri Mbilu katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa SEKOMU.
Ikumbukwe Mwl. Christopher Mwakasege atapata nafasi ya kufundisha neno la Mungu katika semina itakayofanyika siku ya Ijumaa tarehe 12/02/2021 Kanisa Kuu Lushoto Cathedral.
- Hits: 675
Page 2 of 28